Vipi?Mkuu
Kuliko Simba?Stade Malien wabovu sana
Siku hizi hakuna live??Mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika unatarajiwa kuchezwa leo saa 7:00 usiku wakati Stade Malien kutoka Mali itakapokutana na Simba SC ya Tanzania.
Mechi hii itachezwa Stade du 26 Mars, Bamako, Mali Novemba 30, 2025, na mashabiki wanatarajiwa kuonja ushindani mkali kwani pande zote mbili zinataka kushinda mechi hii ili kujihakikishia nafasi nzuri zaidi.
KabisaKuliko Simba?
Watashangaza wengiSimba kama atafungwa na hawa jamaa nitawashangaa sana.
TunashindaHovyo kabisaš®
Tulia mkuuSimba inaongoza kwa 2 - 0 ?
KibarazaniMbuzi kala mkeka, wapambe sijui mtalala wapi...
Mmmh,Tunashinda