FT Stade Malien 2-1 Simba SC | CAF CL | 30 Novemba 2025 | Stade du 26 Mars, 7:00 usiku

Mbona hakuna matokeo! Uzi ni kama umetelekezwa! Kwani wenyewe wako wapi?
 
Kwa hiyo kwenye timu nne zilizoingia makundi, ni Yanga peke yake ndiyo amepata pointi kwenye kundi lake! Simba, Azam na SBS wamepigwa nje ndani!

Halafu kwenye ligi, kuna watu wanasema Yanga ananunua mechi!
Masahihisho:

SBS leo katoa 1 - 1 na Stellenbosch
 
Stade Mallien alishabeba kombe la Shirikisho. Timu lako lilishabeba hicho kombe lolote kutoka CAF?
Mpira ni current form sio historia ya miaka ya nyuma. Al Ahly, Kabylie na Far Rabat wote hizo wameshabeba makombe ya CAF sijui hilo kama unalijua?

Hili kundi la Simba timu zote 4 ni mbovu mno
 
Namna gani pale Jonathan Sowah BLACK LION anaiandikia simba goli la tatu kunako kipindi cha tatu. FT: STADE MALLIEN DE BAMAKO 2 VS 3 SIMBA SPORTS CLUB DE MAKOLO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…