FT: Super Bowl 2025| Kansas Chiefs 22-40 Philadelphia Eagles

FT: Super Bowl 2025| Kansas Chiefs 22-40 Philadelphia Eagles

Kwanini Wamarekani wanawaita mabingwa wa michezo yao mabigwa wa dunia?​

Nina Jamaa yangu mtz shabiki wa Kansas nampigia simu hapokei😂

Alikuwa anaangalia mechi na matokeo mkononi
 
Kansas walikuwa wanajiamin sana

Sawaa mahomes ni mzuri walikuwa wanampaisha mno kuwa hawawezi poteza super Bowl akiwepo

Kumbe wadau Eagles wana defence nzuri sana
 
Dah hzo n effects za Pepsi aisee Yan sijui kama n fainal za Superbowl Leo.

Halftime show sidhan kama imenoga kama zile za Pepsi nafkir apple music wajipange sana
 
Kansas walikuwa wanajiamin sana

Sawaa mahomes ni mzuri walikuwa wanampaisha mno kuwa hawawezi poteza super Bowl akiwepo

Kumbe wadau Eagles wana defence nzuri sana
Hahahaa!

Ina maana watu walishasahau kwamba Tom Brady na New England Patriots walishinda AFC championship game dhidi ya Kansas City Chiefs 2019?

Pia, 2021, Tom Brady na Tampa Bay Buccaneers walishinda Super Bowl dhidi ya Kansas City Chiefs na Patrick Mahomes?

2022 Joe Burrow na Cincinnati Bengals walishinda AFC championship game dhidi ya hao hao Kansas City Chiefs.

Hata wiki mbili zilizopita, Chiefs walibebwa na marefa.

Mahomes is good but not invincible. GOAT Tom Brady had him twice.
 
Nina Jamaa yangu mtz shabiki wa Kansas nampigia simu hapokei😂

Alikuwa anaangalia mechi na matokeo mkononi
Mie nimempigia mmoja nae, jamaa ni die hard wa Kansas city. Huyu jamaa alipokea, nikamuuliza anafikiri KC watarudi, akasema 'Niger wacha talking bout, akakata'
Nafikiri kavurugwa na mambo ya Trump lakini na wahamiaji. Jamaa miaka 25 +hana makaratasi.
 
Half time show ya safari hii haija noga sana

Kendrick ni mwanangu ana nyimbo nyingi ambazo ni hits tena latest zenye ma grammys lakini show yake haijabamba kumzidi Usher ambaye hakuwa na hit.
 
Back
Top Bottom