FT: Tabora United 0 - 0 Azam FC | NBC Premiar Leaguer | A.H. Mwinyi Stadium | 19/02/2023

FT: Tabora United 0 - 0 Azam FC | NBC Premiar Leaguer | A.H. Mwinyi Stadium | 19/02/2023

Wildlifer

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2021
Posts
1,884
Reaction score
5,235
Game nzuri sana.

Azam hawa sio wale wa pale CCM Kirumba.

Tunawanyoa. Live from Mwinyi Stadium

1708350779492.png

1708350943664.png
 
Leo ndo siku ya Tabora Utd kulipa kisasi
Anything can happen, game iko balanced, wote wanafunguka ila kwa tahadhali kubwa. Azam wana uzaifu left back, na Tabora wamejitahidi kuwa na utulivu ulinzi.
 
2nd Half inaanza., bado scoreboard ni 0 kwa 0
 
Tbr wanakosa goli la wazi kabisa, sababu ya uchoyo wa kijinga kabisa.
 
65" SUB AZM anaingia Dube anatoka sila
 
Unatongozewa, unaletewa geto, unashindwa maliza kazi. Ndio hawa tabora united. Wana create sana, ila poor finishing. Wana upako wa Mzize.
 
Back
Top Bottom