Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni fan wa Azam ?Refa kachezesha kipuuzi Sana, Azam wame umizwa Sana na maamuzi ya refa na ma line wake.
Lakini kumbuka TFF iliwaonea bure Tabora Utd kwenye game ya Kwanza....Refa kachezesha kipuuzi Sana, Azam wame umizwa Sana na maamuzi ya refa na ma line wake.
Kibonde wa Ihefu hawezi kuwa bingwa msimu huu.Bingwa ashaanza kuonekana mapeeeeema
Hata mwaka jana kibonde wa Ihefu ndo alikua bingwaKibonde wa Ihefu hawezi kuwa bingwa msimu huu.
Mimi ni Yanga ila namna mpira ulivyo chezeshwa ni mkakati maalum wa kuhakikisha Azam hawashindi.Wewe ni fan wa Azam ?
Na angalau msimu uliopita mlipata point 4 msimu huu hata moja hampati so ubingwa utakuja mapema kama Bao la kwanza [emoji81]Kibonde wa Ihefu hawezi kuwa bingwa msimu huu.
Kwenye Tff ntasema Tff ila kwa hii mechi Tff siwalaumu ni mkakati wa marefa waliochezesha hii mechi.Lakini kumbuka TFF iliwaonea bure Tabora Utd kwenye game ya Kwanza....
Basi Mkuki Kwa nguruwe Kwa binadamu....
Hapana Mzee Azam wamekosa nafasi Tu wao sasa walikuja kutahamaki muda haupo wakapanic na kutafuta kichaka cha kujificha.Mimi ni Yanga ila namna mpira ulivyo chezeshwa ni mkakati maalum wa kuhakikisha Azam hawashindi.
Azam lazima wabadilike Mzee vinginevyo watakua wanaishia kua no. tatu kila msimuKwenye Tff ntasema Tff ila kwa hii mechi Tff siwalaumu ni mkakati wa marefa waliochezesha hii mechi.
Hapana lazima watumie fedha kama wanavyo Fanya wakubwa. Mechi hii ya Leo wenzako wame wazidi kwenye kipengele Cha rushwa tu.Azam lazima wabadilike Mzee vinginevyo watakua wanaishia kua no. tatu kila msimu
Hawana match fitness tokea mechi ya Kirumba ,wamekaa sana bila kucheza mechi za ushindani.Hawa wachezaji wa azam nadhani siku mbili hizi walikua na malaya wa mitaa ya kanyenye, wanacheza kichovu, wanaanguka hovyo wakiwa pekee yao, mara misuli inawashika.
Si wametoka kucheza na Geita juzi?Hawana match fitness tokea mechi ya Kirumba ,wamekaa sana bila kucheza mechi za ushindani.
🤣🤣🤣Fei akifunga mawili leo ntaamini Yale magoli yalikuwa halali yake
😃😃😃😇🤣🤣Hata goli moja hapati