FT: Tabora United 0 - 0 Azam FC | NBC Premiar Leaguer | A.H. Mwinyi Stadium | 19/02/2023

FT: Tabora United 0 - 0 Azam FC | NBC Premiar Leaguer | A.H. Mwinyi Stadium | 19/02/2023

Mechi mbili zote zilizopita walicheza vibaya.
Kuna kucheza vibaya na kucheza kwa kuridhika. Azam wanacheza kwa kurelax, huioni ile fighting spirit/njaa ya ushindi. Hapa katikati yanga tulikua na low form, lakini unaona wachezaji wanapambana. Azam wapambanaji ni Dube, akamiko na kipa wao na Mustapha tu. Wengine hamna kiv wanafanya.
 
Azam wanacheza kukamilisha dakika tu, sio kutafuta matokeo.
 
Uto wapo vizuri kwa vimechi vya NBC league, ila kule CAFCL ni mdebwedo.

Nimeandika nikiwa timamu.

CAFCL Simba wanaimudu vizuri sana, huo ndio ukweli mchungu kwa vyura 😁
Na hii pia umeandikiwa ama umetumia akili yako finyu kuamdika

Hapa kinachoongelewa ni mechi ya Tabora United na Azam FC
 
Na hii pia umeandikiwa ama umetumia akili yako finyu kuamdika

Hapa kinachoongelewa ni mechi ya Tabora United na Azam FC
Povu la nini mkuu ?

We soma comment kisha endelea na kazi zako Tabora united na Azam wamegawana point na wameshaodoka uwanjani hivyo tunachozungumzia sasa ni ubora wa timu kinara wa NBC league ambaye anasifiwa kwa kutandaza boli NBC league, Kichekesho kinakuja akienda CAFCL anakuwa mdebwedo 😁
 
Baada ya kirumba mechi ya mwisho walicheza na geita gold weka rekodi zako sawa
Azam karibia tano za mwisho kabla ya mapumziko Azam walikiwa wamoto sana.Ukiwatizama sasa hivi unaona kabisa hawako fiti japo wachezaji ni walewale.
 
Back
Top Bottom