joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sema wewe una jibu lako ila swali nishajibu. Mtibwa ananufaika vipi na kiporo, maana inabidi akusubiri www,huoni unampotezea mwenzio match fitness.Bado hujanijibu swali
Unaogopa nini humu? Kama ni simba na mtibwa hata mtibwa nae ni mnufaika wa kiporo kwa inahairishwa upande wa simba tu au ni huo mwiko huko nyuma?
"Mwiko huko nyuma...." unaonekana una experience na hivyo vitu au unautaka mwiko.