FT: Tabora United 0 - 0 Azam FC | NBC Premiar Leaguer | A.H. Mwinyi Stadium | 19/02/2023

Azam karibia tano za mwisho kabla ya mapumziko Azam walikiwa wamoto sana.Ukiwatizama sasa hivi unaona kabisa hawako fiti japo wachezaji ni walewale.
Hoja yako uliandika baada ya kirumba hawakucheza mechi yoyte mpaka wanacheza leo hayo mengine yako
Nimekusaidia kuweka rekodi sawa
 
Msimu mzima hua wanacheza na kukaza mechi nne tuu, mbili za Simba na mbili za majini fc
 
Sasa tufanye nini wawe vizuri?
Mechi 3 za mwisho za simba walicheza baada ya siku 3 lakini hawakuwa vizuri
Nimesema hawajcheza mechi nyingi za ushindani nani hali ya kawaida kwenye mpira.

Kusema mfanye nini mshachelewa sababu timu nyingi hazikuwa na mechi nyingi za maandalizi kabla ya roundi ya pili kuanza so wengi match fitness wanaipata ktk mechi za ushindani.

Azam sio wabaya kabisa subiria baada ya 5+ nitakukumbusha kwenye uzi huu.
 
SUala la simba kucheza mechi 3 mfululizo kila baada ya siku tatu unalichukuliaje?
 
Mbona kawaida kwenye mpira,ulaya wanacheza mechi kila baada ya siku mbili, huku tuna jiendekeza.
ila viwanja vya ulaya ni rafiki kabisa kufanya hivyo tofauti na kwetu au bado hujatambua hilo?
Mfano uwanja wa ccm kirumba utaucompare na uwanja gani pale uingereza kwenye ligi ya epl?
 
Hamna kitu kama hicho sio sababu kwangu ya maana,utakuta timu ina mechi mfululizo tatu zote zinafanyika Dar still bado analalamika.

Halafu hizi timu kubwa zote zinakula flight,so kwangu mimi ni kujiendekeza.Timu zinazo takiwa kulalamikia ratiba ni hizi timu zisizokuwa na misuli mikubwa kiuchumi.
 
Kama nani analalamika bado mechi zake ziko dar?
 
Kwani wanaopewaga favor kwenye viporo ni timu zipi, kama huzijui basi ww sio mtu wa mpira.
Bado hujanijibu swali
Unaogopa nini humu? Kama ni simba na mtibwa hata mtibwa nae ni mnufaika wa kiporo kwa inahairishwa upande wa simba tu au ni huo mwiko huko nyuma?
 
Back
Top Bottom