FT: Tabora United 0 - 1 Young African SC | Jamhuri Stadium-Dodoma | NBC Premier League | 23.12.2023

Simba kama gari ya mkaa,tripu shamba tripu gereji.

Wachezaji wamemloga kocha ili asahau kusajili wachezaji wapya.

Akishtuka ujue usajili umefungwa. Credit by Boniface jacob
 
Si unaona akili zenu mashabiki wa utopolo kwani Sisi mechi yetu na Wydad tulicheza mwezi uliopita au, kwani ninyi ndio mara yenu ya kwanza kuchezea kwenye hicho kiwanja na je Tabora ndio wenyeji wa huo uwanja, kwani siku zote timu ikicheza Dar ndio ina uhakika wa kushinda kirahisi tu
 
Game ilikuwa ngumu sana kuliko ya KMC na Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…