FT: Tabora United 0 - 1 Young African SC | Jamhuri Stadium-Dodoma | NBC Premier League | 23.12.2023

FT: Tabora United 0 - 1 Young African SC | Jamhuri Stadium-Dodoma | NBC Premier League | 23.12.2023

67'
Tabora United wanapiga faulo inatoka Nje
 
Mpaka Sasa Yanga wanacheza chini ya Kiwango; according to me.
Hawatupi kile tulichotegemea
 
NI UPUMBAVU KUENDELEA KUSHANGILIA KWA KUTUMIA MAVUVUZELA. KUNA TOFAUTI KUBWA UKIANGALIA MECHI ZA EPL MA HIZI ZA KWETU. YANI HUKU FULL KELELE
Kule ni Epl, huku ni Nbc,, ukitaka tufanane basi na huku wachezaji walipwe kwa wiki. Ukitaka tufanane, basi wafanye mashabiki wawe na uwezo wa kwenda nje ya nchi kuangalia timu zetu zikiwa away
 
74'
Tabora wanapata faulo: inapigwa inapaa juu kabisa
 
79'
Yanga wanapata kona.
Inakuwa off target
 
80'
Yanga wanafanya mabadiliko
Aziz K OuT
Farid Mussa Inn
 
NI UPUMBAVU KUENDELEA KUSHANGILIA KWA KUTUMIA MAVUVUZELA. KUNA TOFAUTI KUBWA UKIANGALIA MECHI ZA EPL MA HIZI ZA KWETU. YANI HUKU FULL KELELE
Ni ushamba wa Yanga tu

Achililia mbali EPL, twende tu hata hapo uarabuni.

Ni lini uliona mashabiki wanaingia stadium na misuli?

Kwa Yanga kila kitu cha kijinga kinawezekana
 
Back
Top Bottom