FT: Tabora United 0 - 1 Young African SC | Jamhuri Stadium-Dodoma | NBC Premier League | 23.12.2023

Ni ushamba wa Yanga tu

Achililia mbali EPL, twende tu hata hapo uarabuni.

Ni lini uliona mashabiki wanaingia stadium na misuli?

Kwa Yanga kila kitu cha kijinga kinawezekana
Wewe binti tafuta mme akuoe.
 
Ni ushamba wa Yanga tu

Achililia mbali EPL, twende tu hata hapo uarabuni.

Ni lini uliona mashabiki wanaingia stadium na misuli?

Kwa Yanga kila kitu cha kijinga kinawezekana
Sisi waleeee
 
90 +2'
Sub kwa Yanga.
Shomari Out
Mwamnyeto Inn
 
Tatizo hawajui kutengeneza nafasi, ila kucheza wanacheza vizuri,sijui wamekamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…