FT: Tabora United 0 - 1 Young African SC | Jamhuri Stadium-Dodoma | NBC Premier League | 23.12.2023

Point 3 clear safiii sanaaa
 
Nilitegemea kukuta coment 600 uko [emoji1787] kumbe makolo walishapoteana toka mchana wanachungulia uzi wanasonyaaa uko kwa pembeni

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wala hii mechi haikuwa na maajabu yoyote, kwa 'ubora' wenu tulitegemea hao mjipigie kuanzia tatu, tunashangaa tu imekuwaje mmeishia moja mpaka tumekuwa speechless
Wewe ujui kitu, hii Tabora Kama ingekuwa inacheza na Simba mlikuwa amtoki, yanga katika kucheza mechi nzito na medeama wametumia nguvu kubwa ndio maana umeona wachezaji walikuwa wamechoka, na bado wamesafiri kwenda Dodoma na kucheza mechi ndani ya siku 3! Vipi wangekuwa makolo wangetoka Kama tu wamecheza dar na wametoa SARE na kmc?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…