Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Munaoitakia simba ushindi leo, mukae kwa kutulia musije vunja sindano.Kila la kheri mnyama
Ananipa vingi kwanini nisimuunge mkono kwenye jambo lake?mmeanza
Kwapa gani?Kil la heri mnyama mkalii....yani hapa ni mwendo mpka kunyanyua kwapa....
Kwa makipa hakuna Wasiwasi...Kocha anafanya rotation kwenye goal keeping
Next Match anaweza kudaka Abel Hussen
View attachment 2896038
Mechi ijayo ni dhidi ya azam hawezi daka Abel ni Ayoub tena au ManulaKocha anafanya rotation kwenye goal keeping
Next Match anaweza kudaka Abel Hussen
View attachment 2896038
Unyanyue kwapa umenyoa, au unataka kutapisha watu tu?Kil la heri mnyama mkalii....yani hapa ni mwendo mpka kunyanyua kwapa....
Hivi mkuu huwa hijisikii vibaya kuitakia ushindi timu unayojua kabisa inaenda kufungwa?Naitakia ushindi timu ya Tabora United.
TABORA (1)View attachment 2895995
Match Day.
Leo Simba anatupa karata yake kwenye mchezo wa 12 wakiwa na Points 26. Nafasi ya 3. Anayeongoza Ligi ana points 34.
Mpaka sasa Simba amepoteza Mchezo 1 Draw 2 na Ameshinda 8.
Wapinzani Wao Tabora wako nafasi ya 12 kwenye msimamo wakiwa na points 15.
Mchezo utafanyika Saa 10jioni.
Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora.
Tukutane hapa kwa updates...
Uran!!
KIKOSI CHA TABORA UNITED KINACHOANZA.
View attachment 2896040
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA
View attachment 2896032
All the Best Mnyama.
#nguvumoja#...