FT: Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League | A.H.Mwinyi Stadium | 06.02.2024

Wapinzani wao ni Tabora sio Simba, kwa sababu Simba wapo ugenini, mleta uzi kuwa makini na nyuzi.Badala umuelezee mwenyeji wewe unatoa maelezo ya mgeni kwanza. Mwenyeji ni Tabora ndiye anayeenda kupambana na Simba, ila umeandika kana kwamba wote humu ni mashabiki wa simba 🚮
 
Kwa Simba gani wakumfunga Tabora?
Huyu huyu alie gongwa bao tano na wananchi, ama mwengine?
 
TABORA (1)
Mbombo 1

SIMBA (2)
Chama 1
Kanute 1
 
Leo nyani wa pori la utopolo watakuwa na huzuni kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…