Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,686
- 18,674
Na wapigweeeeee tu hata goli kumi.
We acha tuHivi hiyo first eleven ndio best of the best players Tanzania?
Zbc2Channel gani?.
HTLink ya online stream tafadhari.
Matokeo yabaki hivi hiviTimu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inashuka dimbani leo saa 10:00 jioni katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, kukabiliana na Guinea-Bissau kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi L wa kusaka nafasi ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).
Licha ya kuwa Tanzania tayari imeshajikatia tiketi ya kushiriki AFCON 2027 kama mweyeji mwenza, inatumia michezo hii ya Kundi L, linalozijumuisha pia Madagascar na Nigeria kama maandalizi kabambe ya kujipima nguvu.
Mchezo wa leo ni fursa muhimu kwa benchi la ufundi kuweka msingi thabiti na muundo wa ushindi kabla ya kukabiliana na mechi zinazofuata.
Jezi zinazotumiwa alizozikataa mpenda sifa Makonda
KIKOSI CHA WACHEZAJI 11 - TAIFA STARS
View attachment 3677569
KIKOSI CHA WACHEZAJI 11 - GUINEA BISSAU
View attachment 3677572
Wanagombania mgao wa jezi huku wachezaji wao wanazingua,Changamoto yetu ni jersey
FawanewsLink ya online stream tafadhari.
Ndiyo style ya Watanzania.Kabisa. Sijui tatizo ni nini