MATAKO MAKUBWA anasemaje huko Zenji😂😂😂badala ya kusimamia mandalizi anatingisha MAKALIO yake makubwa kulalamika Jezi Mbaya😂😂chuma mbili saaaaaaaafi kabisa
Mbona kama umetumwa mkuuTatizo litimu limekuwa la serikali sio ya watanzania. Acha wapigwe tu tena bahati Yao hizi mechi sio za kufuzu na hakuna MTANZANIA mwenye akili TIMAMU akashabikia litimu hili🥹🥹
Mkuuvpunguza ujinga sas kama jezi ni mbaya kiongoz asiseme? Kwani maoni ya watu yapoje?Jezi mbaya kwa mujibu wa MATAKO MAKUBWA uwanjani Timu inagongwa
Sijui umeongea nini hapa.Hii timu tukitaka ipewe sapoti hapa nchini hadi wakati wa Afcon basi viongozi wa kiserikali wakae kando kuanzia kuitwa wachezaji mpaka kambini kwao bila ivyo tutakuwa kama tupo ugenini vile uwanjani
Kudhibiti upinzani na kula kutolingana na urefu wa kamba zetu. Tuko siriazi balaa! 🚮Kuna kitu tupo serious basi
Bado tuko Eda mkuu. Usituchanganye! 😂Twendeni alipolala Mzee Mwinyi tukamwombe radhi
Hii kichwa cha mwendawazimu itatutesa sana
Kama wewe ni shabiki la Taifa Stars upimwe akili lazima Kuna sehemu nati zimelegea. Litimu limekuwa na machawa wa SSH wasiojali uzalendo zaidi ya upigaji tu wewe umeona wapi mechi karibu zote za Bara zinachezewa ZANZIBAR😀😀.Mbona kama umetumwa mkuu
Mkuu na wewe ndo wale mnaopenda ofa za ndege ndo muisapoti litimu lenu nini? Hivi yale aliyoyatoa huyo MATAKO makubwa ni maoni au maagizo?? Wewe unaweza kutoa maoni alafu ukasema unaunda tume ya kuchunguza?? Yeye ni nani TFF huyo MATAKO makubwa?Mkuuvpunguza ujinga sas kama jezi ni mbaya kiongoz asiseme? Kwani maoni ya watu yapoje?