FT: Taifa Stars 0-2 Guinea-Bissau | Kufuzu AFCON 2027 | Uwanja wa New Amaan

Matokeo yabaki hivi hivi
 
hii ya kucheza zenj nayo wanazingua viingilio hadi 1000 lakini watu hakuna na hamasa nayo inakosekana. inakuwa kama tunacheza ugenini.
 
Hii timu tukitaka ipewe sapoti hapa nchini hadi wakati wa Afcon basi viongozi wa kiserikali wakae kando kuanzia kuitwa wachezaji mpaka kambini kwao bila ivyo tutakuwa kama tupo ugenini vile uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…