Hata kama ndio tumeshafuzu kwa jinsi wanavyocheza Taifa stars inavunja moyo kuwatazama. Miaka ya nyuma watu walikuwa hawana hamasa kabisa na timu ya taifa. Alipokuja Maximo na support kubwa kutoka kwa serikali chini ya Rais Mh. JK ndio hasama ikarudi.
Sasa kwa mpira huu wanocheza leo ni kama hawataki kushinda ila wajue wanaumiza mashabiki waliopoteza pesa na muda wao. Jana tumetizama vijana wa Ngorongoro herose walivyojitoa kizalendo hata kama walipoteza kwa mikwaju ya penalt ila tuliona mpira na jitihada. Wachezaji wa Taifa stars na kocha waobl wanapaswa wajitafakari sana.