FT: Taifa Stars 0-2 Guinea-Bissau | Kufuzu AFCON 2027 | Uwanja wa New Amaan

Timu ya Paul Makonda kada wa ccm, imevaa jezi nzuri na imetombeka nyumbani
 
Hivi Makonda alikuwepo uwanjani?..anafanya mkutano jana kumbe siku inayofuata timu inacheza, nilitegemea awe huko Zanzibar kuwapa molali wachezaji...Huyu jamaa hamnazo kweli.
 
Hata kama Taifa stars watavaa jezi za magunia, let them focus kwenye kuleta ushindi.
Haijalishi paka ni mweusi au mweupe, muhimu akamate panya!
Nadhani sasa discussion kubwa iwe, tunaiwezeshaje Taifa stars kuleta ushindi? Na sio maswala ya jezi.
 
Waendelee kuzozana kuhusu rangi,picha na shanga za kuwekwa kwenye jezi huku timu ni mbovu.Marabook plusplus!
 
Sasa nchi imechukua wachezaji wa kigeni ndio imejaza kwenye ligi yao halafu inaonekana kimakosa kwamba ina ligi nzuri kumbe hamna lolote.

Hao wakiletewa hata viwete kutoka Argentina au Spain wanaweza wakawachakaza vibaya sana. Bure kabisa.
 
Huyo bashite hana sifa za kuwa kiongozi kabisa huyo ataleta mpasuko kwenye mpira wa mguu yaani huyo jamaa wangemuacha tu akabaki kuwa mkuu wa mkoa
 
Bila simba imara, taifa stars itayumba.
 
Una Yona Amos unamuanzisha Zubeir Foba si utakuwa wazimu. Acha wafungwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…