momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
Hao Bulgaria unaambiwa 2023 yote kwenye mechi zote hakuna mechi wameshinda ndo leo katuokotaDuuuh kweli mpira duniani umeshuka, hawa Taifa Stars hawakushinda hata mechi moja makundi AFCON ndo wanamsumbua Bulgaria?![emoji848]
Kumbuka kikosi cha sasa kina wachezaji wengi toka Simba na Yanga. Na mechi ijayo ya J3 si watakuwa wamerudi kwenye clubs zao kujiandaa na mechi za Club bingwa?Kwa huu mchezo tuliocheza leo Mongolia anakufa goli si chini ya 2 mkuu.
Maumivu tunamalizia kwa Mongols.
KIkosi kwangu mimi kipana.Kumbuka kikosi cha sasa kina wachezaji wengi toka Simba na Yanga. Na mechi ijayo ya J3 si watakuwa wamerudi kwenye clubs zao kujiandaa na mechi za Club bingwa?
Kupata vichekesho vyenu unabonyeza ngapi-ngapi?Kufungwa tumefungwa lakini wachezaji wetu 4 wamebaki Salama tayari kumpiga mamelodi .
yupo bongo zozo na watu wakeAisee uwanja ni mweupe. Kuna mashabiki kama wanne tu wa Tanzania. Hahaha
Watanzania million 60+ anakosekana kipa?Aingie nani sasa
Vilabu vyetu haviwaamini wazawa ndio tatizo lilipoanziaWatanzania million 60+ anakosekana kipa?