FT: Tanzania 0-1 Bulgaria | Friendlies| 22 March 2024 16:00 Hours | Dalga Arena (Baku, Azerbaijan)

FT: Tanzania 0-1 Bulgaria | Friendlies| 22 March 2024 16:00 Hours | Dalga Arena (Baku, Azerbaijan)

Kwa huu mchezo tuliocheza leo Mongolia anakufa goli si chini ya 2 mkuu.
Maumivu tunamalizia kwa Mongols.
Kumbuka kikosi cha sasa kina wachezaji wengi toka Simba na Yanga. Na mechi ijayo ya J3 si watakuwa wamerudi kwenye clubs zao kujiandaa na mechi za Club bingwa?
 
Kufungwa tumefungwa lakini wachezaji wetu 4 wamebaki Salama tayari kumpiga mamelodi .
 
Kumbuka kikosi cha sasa kina wachezaji wengi toka Simba na Yanga. Na mechi ijayo ya J3 si watakuwa wamerudi kwenye clubs zao kujiandaa na mechi za Club bingwa?
KIkosi kwangu mimi kipana.
Mongolia hachomoki kaka trust me.
 
Kama tupo serious na kuwa na timu imara AFCON 2027 ili angalau tufike robo fainali, msimu huu ukiisha tu tuvunje Hazina tumlete Nabi.
 
I will
Jewe
WhatsApp%20Image%202024-03-03%20at%2012.29.29.jpg
 
Back
Top Bottom