Mpira wanacheza ila katika finishing hawako clinical hawa Taifa stars.Hstujasawazisha tu?
Kwa huu mchezo tuliocheza leo Mongolia anakufa goli si chini ya 2 mkuu.Mzizeeee kagongesha besera daahh
On target ni moja tu Mkuu ila mipira mingi iligonga mwamba ila kuna some improvement kwenye baadhi ya maeneo, kubwa lakufanyia kazi ni jinsi gani tunaweza kua effective kwenye kushambulia hapa ndo tunashida kubwa, possession tunajitahidi siku hiziKatika game nilizo enjoy stars ikicheza basi ni hii game dhidi ya Bulgaria.
Angalau on targets zimepatikana mbili tatu.
Mongolia hawatachomoka kwa kikosi hiki.
Golini kwa mpinzani tunafika ila kumalizia kipengele.On target ni moja tu Mkuu ila mipira mingi iligonga mwamba ila kuna some improvement kwenye baadhi ya maeneo, kubwa lakufanyia kazi ni jinsi gani tunaweza kua effective kwenye kushambulia hapa ndo tunashida kubwa, possession tunajitahidi siku hizi
Aingie nani sasaManula asitafishwe kwa nguvu