FT: Tanzania 0-1 Bulgaria | Friendlies| 22 March 2024 16:00 Hours | Dalga Arena (Baku, Azerbaijan)

Katika game nilizo enjoy stars ikicheza basi ni hii game dhidi ya Bulgaria.
Angalau on targets zimepatikana mbili tatu.
Mongolia hawatachomoka kwa kikosi hiki.
 
On target ni moja tu Mkuu ila mipira mingi iligonga mwamba ila kuna some improvement kwenye baadhi ya maeneo, kubwa lakufanyia kazi ni jinsi gani tunaweza kua effective kwenye kushambulia hapa ndo tunashida kubwa, possession tunajitahidi siku hizi
 
Golini kwa mpinzani tunafika ila kumalizia kipengele.
Ila zile substitutes ndio zimeleta chachu mpira ukachezeka.
Ila kwa zile cross majaro aisee zingemkuta Mzize tungesimulia mengine.
Tusilaumu tu wachezaji ila tuwasifie mabeki wa Bulgaria wako vizuri katika ku clear.Zile cross ingekua team zembe kama Madagascar watu wanaokota kambani.
Mongolia hachomoki niko palee naisubiri tarehe 25.
 
Back
Top Bottom