Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku polisi wa bongo wakifanya hivi basi rais atakuwa ni kikwete Jr na makamu wake ni Bashite 😂😂wajeshi wako wengi na wote hawaangalii mpira wamegeukia kwa mashabiki au tuseme viti vitupu
Wapigwe tu, huku ndo pa uzalendo, wao wanataka tuwachumie manlodi samdauni bila sababuChuma ya pili imekoswa koswa hapa..
Bado goli moja tu, pouch ya kanjibah ichanike 🤒🤒Chukkua Odd hii 🤒🤒
Tanzania 0 - 2 Bulgaria
Mzize huyu huyu aliyepinda mgongo?Tuone kama Mzize ataenda kuweka presha pale mbele
Leta updates mkuuDuh sikio. La Kufa
mudathir hakuitwa?Feisal katoa pasi mbaya na kidogo itucost