Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Wajimix tu waone.uwanja wa ndege watakuwa wameshapigiana simu
technicians wote waingie kuanzia night shift ya leo hadi kesho kutwa... hapo sahivi matumbo joto..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajimix tu waone.uwanja wa ndege watakuwa wameshapigiana simu
technicians wote waingie kuanzia night shift ya leo hadi kesho kutwa... hapo sahivi matumbo joto..
Mbona Azam kacheza michuano ya Shirikisho pale
Bado yupo uwanjani, Micho inabidi aingie kwenye mfumo wa Okwi58' Babu Okwi anaenda benchi
Hii nayo hoja. Wanajenga running tracks ambazo hata hazitumiki. Viwanja vidogo vina vibe maana mashabiki wanakuwa karibu na uwanja na vina gharama ndogo zaidi kuvitunza.Tatizo wanajenga viwanja vikubwa sana
Wangejenga viwanja size ya Azam Complex
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hatimaye ametoka sasa, sasa sijui wamefanya maridhiano🤣Bado yupo uwanjani, Micho inabidi aingie kwenye mfumo wa Okwi
Jan 05, 2021Kunguru kila siku wapo kwny hizo nyaya leo imekuwaje kunguru tena usiku huu au kunguru wa dar hawalali?.
Kwahiyo humo uwanjani wanacheza mzombie!?Tanzania hata tubadilishe makocha hakuna wachezaji
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Samata hamna mtu mule,kakosa kutoa pasi maeneo mazuri ya wenzake kumfunga,akaweka ubinafsi mbeleSamara imebaki jina