FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

Mpira TZ bado sana ubunifu ni zero tunamng'ang'ania Samata ambae amekwisha hana cha ziada hapo tulipofika ndio mwisho wetu timu inacheza utafikiri wagonjwa wa ukimwi
Samata anataka kutuonesha kitu ambacho hana, wanamng'ang'ania kwa sababu ya status yake. Kuna mechi Cr7 na ukubwa wake alianzia benchi portugal. Tujifunze
 
Mama anachezea sana hela zetu kwenye soka la kibongo
Dadeki

Anajua hatuwezi fanya kitu ndio maana wanataja taja zawadi za fedha tu.

Hata uwaambie kila mchezaji atapata 1.5Bln, hakuna kitu kitakachofanyika.
 
Mpira TZ bado sana ubunifu ni zero tunamng'ang'ania Samata ambae amekwisha hana cha ziada hapo tulipofika ndio mwisho wetu timu inacheza utafikiri wagonjwa wa ukimwi
Inawezekana nia yako ilikuwa njema, ila next time usirudie hichi ulichoandika hapa tafadhali, huu ni unyanyapaa...!!
 
Halafu kuna watu wanabeza uwepo wa mtu kama Kibu. Kibu siyo mchoyo, akipata mpira anatafuta mtu anampa nafasi nzuri, hawa kina Samatta na Msuva wanataka wakimbie na mpira wafunge wenyewe. Wamemuambukiza hata Sopu mambo hayo.
Wakala wa Kibu
 
Unamtoa Shabalala anaingia Luhende? Unawatoa Mzamiru na Mao aisee
Zimbwe aliomba sub kutokana na maumivu ya misuli, Aliyechukua nafasi yake kashindwa kuitumia vema, kocha kawatoa viungo wa kazi kawaacha wapaka mpira rangi!! Pia ina maana nchi yetu ndio haina kabisa kiungo wa kutoa pasi za mwisho za mabao!!??
 
  • Thanks
Reactions: BRN
MSISAHAU ALIYETOA ASSIST YA GOAL NI MCHEZAJI WA PROF NABI 😅😂
Tuacheni utani Coach mtamuonea bure hii team ya leo kikosi na sub zote zimepangwa na lile Karai la tff... Unamtoa Himid, Samatta... Unaingiza watu ili uwaridhishe wazenji na simba halafu uwaonyeshe Yanga kwamba Feisal anajua mpira hata akikaa nje ya uwanja mwaka mzima... Nasemaje afcon mtayofuzu labda ya mabwepande... Kikosi kilicho shinda last match ndicho kilipaswa kianze na kiendelee... 😂😅 Unamuingiza luhende kapombe feisal ally unafanya sub ukiwa umekaa high table... Shubamiti kenge maji nyie
 
Zimbwe aliomba sub kutokana na maumivu ya misuli, Aliyechukua nafasi yake kashindwa kuitumia vema, kocha kawatoa viungo wa kazi kawaacha wapaka mpira rangi!! Pia ina maana nchi yetu ndio haina kabisa kiungo wa kutoa pasi za mwisho za mabao!!??
Tz Haina kiungo wa kutoa pasi za mwisho mzee,Kama yupo mtaje
 
Back
Top Bottom