FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

Ukiacha kosa moja la mwisho likazaa goli ......binafsi timu imepambana .....
Ibrahim bacca Safi .....himid mao Safi na wengineo.....👏
Waaapi Ndg Yangu Imepambana Kufungwa..!
Ni Basi tu,Ila ilitakiwa Viboko Viwili Viwili Vitembee Kwa Kila Mchezaji. Hamasa Yote Ile Ahmed Ali Na Ali Kamwe Na Mwenzao Ibwe Wamepambana ndo Waje Kufungwa home..!
 
Mpira unauma sana ukiupenda,tumepigwa sucker punch mbaya sana nimeumia kwakweli.
JamiiForums1024691057.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Afadhali tu hizi punda ndo zilikuwa zipewe kodi zetu ? Afu uyu maza na yeye ana tuchukuliaje
 
Kabisa..saa hizi Aucho yuko huru
Hili ndio kosa lilotufanya tupigwe,ukiangalia Mzamiru na Himid walikuwa wanabattle vizuri pale kati. Ila alivyo watoa Himid na Mzamiru nikajua hapa tutapotea mda si mrefu, sababu Mudathir ni mzuri ila si kwenye kukaba,Fei hana match fitness naye sio mzuri kwenye kukaba, so dk 10 za mwisho Waganda wakachukua kabisa dimba lao kati.
 
Tunapenda shortcut maandalizi ya nje ya uwanja tupo vizuri kwani promo ya wiki,plus hamasa tumeujaza uwanja.

Ila maandalizi ya ndani ya uwanja yana hitaji mipango ya mda mrefu hasa soka la vijana, hamna timu iliyotoboa michuano ya kimataifa bila kuwa na misingi imara ya soka la vijana.
 
Unamuingizia feisal hajacheza mechi ya ushindi takribani miezi minne sasa.

Kocha nae anafanya sub za kishamba kabisaa, mpira wa miguu km hauwezi kushinda basi hakikisha haifungwi
Huyo Faisal hovyo kabisa hajaleta impact yoyote kazi kurukaruka na kuanguka. Bora wangemuacha Punda wetu amalizie game kabisa. Pumbavu zake
 
Back
Top Bottom