FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

Huyo Kibu hata kutuliza mpira hawezi
Kibu angekuwa msaada mkubwa katika game kama ya leo. Amekuwa na utulivu sana miezi ya hivi karibuni. Hao kina Sopu wanacheza leo utadhani wameahidiwa udiwani, wanakimbia kimbia tu na mipira.
 
Halafu kuna watu wanabeza uwepo wa mtu kama Kibu. Kibu siyo mchoyo, akipata mpira anatafuta mtu anampa nafasi nzuri, hawa kina Samatta na Msuva wanataka wakimbie na mpira wafunge wenyewe. Wamemuambukiza hata Sopu mambo hayo.
Hivi Kibu ni mtanzania?
 
Kwanini Juma Mgunda hajaitwa katika benchi la ufundi??

Hii Timu bora wangempa Juma Mgunda angeifikisha mbali sio huyo muarabu koko ambae anatuwekea wachezaji wa JKU
Mpira TZ bado sana ubunifu ni zero tunamng'ang'ania Samata ambae amekwisha hana cha ziada hapo tulipofika ndio mwisho wetu timu inacheza utafikiri wagonjwa wa ukimwi
 
😂😂😂😂
Ahsante wa blue mwenzangu, ila nyumbani ni nyumbani tu no mara waaa..!!
Screenshot_20221023-132547~2.png
 
Kibu angekuwa msaada mkubwa katika game kama ya leo. Amekuwa na utulivu sana miezi ya hivi karibuni. Hao kina Sopu wanacheza leo utadhani wameahidiwa udiwani, wanakimbia kimbia tu na mipira.
Nitawaeleza nini miye wa-TZ kwa aibu niliyoipata ya kipigo 1-0 toka Uganda.
JamiiForums-417976527.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kocha katuua kabisa.haiwezekan mechi ngumu kama hii unamuweka job kiungo ?????? Serious wakati bench una Yusuf kagoma

Hizi tabia za kujaribu sio nzuri wadau tangu lini job akacheza kiungo ?? Tangu lini ?????

Lini???

FEI toto mzito.hana mechi fitness anaingizwa WA Nini.??????

Tumejifunga wenyewe na hatuwezi kufuzu labda Uganda afungwe na guinei mana Kila timu imebakisha mechi Moja tu hiyo ya pili na Algeria tufanye kama tayari tushafungwa.
 
Back
Top Bottom