FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

FT: Tanzania 0-1 Uganda | AFCON Qualifier | Benjamin Mkapa Stadium | 28.03.2023

Kwa wasiojua mpira...unaweza kudhani samatta hana msaada...
Mpira wa kisasa ni mipango sana...
Samatta hajalishwa mipira ya maana
 
Upumbavu huu.. dk za nyongeza tunaachia damn!!!
 
Hii nayo hoja. Wanajenga running tracks ambazo hata hazitumiki. Viwanja vidogo vina vibe maana mashabiki wanakuwa karibu na uwanja na vina gharama ndogo zaidi kuvitunza.
Yaani unakuta wachezaji wapo Makkah mashabiki wako madina 😂😂😂
 
Back
Top Bottom