FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

Viongozi wa kisiasa wameona kwa kuwa tumewasema sana kwa kujiweka kimbelembele na kusababisha timu kufungwa nao wamefanya kusudi ili ionekane wananchi wameikacha timu yao.

Hamasa sahihi wanaijua inavyotakiwa kuwa ila hawataki kuitumia kwa sababu haiwaweki wao front.
 
Back
Top Bottom