FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

Ebana Kibu wa leo ni mwingine kabisa

Sijui ni misumari pale kilabuni kwanguu..[emoji848][emoji848]
 
Taifa Stars kama wapo mazoezini vile. Sioni hata malengo ya wachezaji kutafuta magoli. Back passes za kutosha!!

Yaani wameingia kwenye mfumo wa timu ya Niger!! Wakiotewa goli, ndiyo basi tena.
 
Wanaouliza lineup.
Screenshot_20230618-163229.png
 
Back
Top Bottom