mwanadar
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 423
- 294
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulifanya uzembe sana kutomfunga Uganda hapa kwetu. Baada ya kucheza mpira, sie tunamshangilia Samia na mabendera ya CCM uwanjani. Pumbavu zao.Tukumbuke Mechi ya mwisho tunajipigia na Algeria
Mechi ya Wydad ilimhitaji Kakolanya ile haikuwa ya kufanyia trialKulikuwa na tetesi za Kakolanya kusajiliwa Singida
So ni kama waliamua kumpa mechi zilizobaki adake Ally Salim ili ku gain confidence na ajipatie uzoefu
1-2Uganda ashapigwa mbili huko... habari nzuri kwa Taifa Stars
Tumekoswaaaa
Simba Kuna watu wajinga, Kakolanya wanamwacha wanahangaika na na kipa asiye na uzoefuMechi ya Wydad ilimhitaji Kakolanya ile haikua ya kufanyia trial
Tulishasema siyo Kila anayecheza nje ni mzuri, Banda hakustahili hata kuitwa Taifa starsKwa mtazamo wangu, naona hakustahili hata kuanza. Maana anacheza mpira wa taratibu mpaka anakera.
HakikaMsuva siku zote huwa anathibitisha kwa vitendo yeye ni professional player.
Aaah wapi, mkienda Algeria mnapigwa mkono, maana yake: Uganda anapita kwa goal difference.Tuishatoboa hili kundi tayari
Club zina option ya kusajili wachezaji tokea nje. Tatizo kubwa tulionalo ni wachezaji wetu kuwa watu wa kuridhika na vitu vidogo hawana ambition ya kufika mbali kisokaSwala kubwa kwenye timu za Tanzania kuanzia kwenye ngazi ya club ni benchi la ufundi linakuwa duni.
Tangu kuboresha bench la ufundi kwenye clubs zetu unaona tunapata mafanikio Africa. Kwa sasa hili ndio tatizo Sugu kwenye timu ya Taifa. Benchi la ufundi bovu.
Uganda hii ya Emmanuel Anorld okwiTanzania haina kiwango cha kucheza Afcon.
Bora waingie Uganda.
Club zina option ya kusajili wachezaji tokea nje. Tatizo kubwa tulionalo ni wachezaji wetu kuwa watu wa kuridhika na vitu vidogo hawana ambition ya kufika mbali kisoka
Afcon ni platform kubwa ya kutangaza vipaji vyao ilipaswa wawe wanajituma sana ili wapate fursa ya kwenda afcon ili wapate timu kwenye mataifa yaliyopiga hatua kisoka
Sema ndio ivo wameridhika na kuchezea nyumbani