FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

Tupatieni Standings..
👍👍👍👍
Screenshot_20230618-180922.png
 
Ndiyo umegundua leo siyo! Ila wakati ule mnamfanyia majungu kwa kumuweka nje bila ya sababu na kukapanga kale kagolikipa kenu namba 3, wala hukugundua!!!
Kulikuwa na tetesi za Kakolanya kusajiliwa Singida

So ni kama waliamua kumpa mechi zilizobaki adake Ally Salim ili ku gain confidence na ajipatie uzoefu
 
Back
Top Bottom