Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Ni ujinga; wasijifunze ujinga.Ball boys wanawaiga waarabu kurudha mipira mingi uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ujinga; wasijifunze ujinga.Ball boys wanawaiga waarabu kurudha mipira mingi uwanjani
Hata waarabu sio wapuuzi kiasi hiki, hawa wanarusha mpira kipindi mechi inaendelea. Waarabu wanarusha mingi mpira ukitokaHawa ball boys wanapewa maelekezo na nani kurusha mipira mingi uwanjani? Tunaiga tabia za kipuuzi za Waarabu, yaani mpira umetushinda hadi tunatumia hila za kijinga kama hizi?
Vv
90+7Dakika.ya ngapi?
Saizi 890+7
Waziii afandeCAF inabidi watunge sheria kwa hizi tabia za kurusha mafataki, kurusha mipira mitatu mitatu uwanjani au watu kujiangusha hovyo.Una haribu sana ladha ya mpira halafu ni uhuni.
Ya 990+7
Kakapambana sana leo..!Kakolanya ni kipa aisee
Kafanyaje..? Mwambieni Refa watu wengine wametoka Fukayosi Bagamoyo,usafiri shida!Kakolanya ni kipa aisee
[emoji23][emoji23]Dah! Hii timu ikitokea bahati mbaya ikafuzu! Aisee tunaenda kuwa kichwa cha mwendawazimu kwa mara nyingine tena.