Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Samatta ni butu siku hiziUnpopular opinion:
Msuva huwa anajituma na kung'aa zaidi akiwa na Stars kuliko Samatta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samatta ni butu siku hiziUnpopular opinion:
Msuva huwa anajituma na kung'aa zaidi akiwa na Stars kuliko Samatta
Na ndio maana tunataka mpira uishe kwa maana tunajua watu wengi hawajui.Nae kapewa thank you tayari?
sasa anamtoa msuva na anamwingiza himid mao na banda anamwachaBanda ni wa hovyo kabisa
Kama Saves ya Beno na Cross ya Mzamiru venyewe hawakoseagiMsuva siku zote huwa anathibitisha kwa vitendo yeye ni professional player.
We Mwakitwange Kibu sio StrikerKumbe muda wote tunasubili magoli straiker wenyewe ndio kina Kibu Denis?
Hizi ndizo akili za mashabiki wa simba.Refa maliza mpira tudiskasi Thank you ya Kisinda
DahNa ndio maana tunataka mpira uishe kwa maana tunajua watu wengi hawajui.
Yanga wametoa taarifa katika ya mechi ili kufanya habari ifichwe na tukio la mechi
Kwa mtazamo wangu, naona hakustahili hata kuanza. Maana anacheza mpira wa taratibu mpaka anakera.Banda atokee tu