Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Uganda anakipiga na Nigeria si ndio?Bora tumebahatisha,hapo kilichobaki ni kumuombea majanga Uganda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uganda anakipiga na Nigeria si ndio?Bora tumebahatisha,hapo kilichobaki ni kumuombea majanga Uganda
Algeria,saa kumi na mbiliUganda anakipiga na Nigeria si ndio?
AlgeriaUganda anakipiga na Nigeria si ndio?
Kumbe muda wote tunasubili magoli straiker wenyewe ndio kina Kibu Denis?Mabadiliko yanafanyika
Anatoka Kibu
Anaingia John George
hatari sana.Yan kama hawa vibonde mpaka tutegemee bahat bas safari yetu ya soka bado ndefu sana
Wanaogopa atanyea kambi!!?Inaonyesha Niger hawamuamimi Adebayor baada ya kufanya mazungumzo ya usajili.
Akili zenu hizi za kiswahili, nani anaweza kusaliti nchi yake?Inaonyesha Niger hawamuamimi Adebayor baada ya kufanya mazungumzo ya usajili.
Nae kapewa thank you tayari?Refa maliza mpira tudiskasi Thank you ya Kisinda
Angenunua tungekuwa tumeishapigwa 0-3