FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

Hii Taifa Stars inaweza kufungwa hata na Mbeya City!
Mimi naona hata Polisi Tanzania au Ruvu Shooting wangeweza kuondoka na ushindi mnono.

Timu haina viungo wanyumbulifu! Washambuliaji nao hawana maelewano! Mfumo wanaocheza haueleweki!!! Yaani kila mchezaji anacheza mpira wa bora liende!!
 
Caption ya post kutoka Yanga haijasema hivyo
Alikuja kwa mkopo wa mwaka mmoja kutoka Morocco, na anarudi Morocco alikotoka kwenda kumalizia mkataba wake halisi huko.
 
Alikuja kwa mkopo wa mwaka mmoja kutoka Morocco, na anarudi Morocco alikotoka kwenda kumalizia mkataba wake halisi huko.
Morroco hawawezi kumkubali watasema tulivyowapa hakuwa hivyo

Mmemuaribu kijana wetu
 
Wachezaji wazito, control ball ni zero, hawana maamuzi ya haraka , wavivu kukaba , hawajitumi wapo wapo tu ilimradi mechi iishe waendelee na mambo yao

Kwa kifupi morali ipo chini mnooooo!! Sa sijui mama hajawaahidi mzigo?
Timu ina makocha kama 10 lakini wapii. Mi nashauri tungekuwa na timu ya taifa full time inayocheza ligi kuu. Niliwahi kutoa huu ushauri. Hii ya kukaa siku 3 kambini halafu mechi hatuiwezi.
 
Back
Top Bottom