Hapa sasa ndio tuongee kuhusu uzalendoKila lakheri kwa Taifa stars, uzalendo kwanza💪
Kajumuisheni na hii kwenye uzi wenu wa takwimuKibu ana mavitu
Tumemuona akijipiga chenga yeye mwenyewe!Mmemuona Kibu lakini?
Tangu amrarue Diarra amekuwa bora.Kibu anacheza vizuri leo
MmeshaanzaTangu amrarue Diarra amekuwa bora.
Lile goli ni kama lilikuja kutoa gundu