Tunisia piga hao watu ..kipigo cha mbwa kokoTimu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, itashuka dimbani leo katika mchezo wake wa mwisho wa Michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) inayoendelea nchini Morocco. Mchezo huo utafanyika katika Uwanja wa Stade Prince Moulay Abdallah, kuanzia saa 1:00 kamili usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Stars watakuwa na kibarua kigumu wakivaana na Tunisia, ambayo kwenye mchezo uliopita ilipoteza kwa mabao 3–2 dhidi ya Nigeria (Super Eagles). Swali kubwa linabaki: Je, Taifa Stars wanaweza kutoboa na kupata matokeo chanya mbele ya Tunisia?.
Labda washinde njaaStars watashinda kwa goali 2-1 hivyo kuendelea mtoano
Mtizamo mzuri pia. Matokeo matatu ya mpira moja litakuwepo. Muda na utasemaLabda washinde njaa
Matokeo watapata.. wataloa zaidi ya 3.Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, itashuka dimbani leo katika mchezo wake wa mwisho wa Michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) inayoendelea nchini Morocco. Mchezo huo utafanyika katika Uwanja wa Stade Prince Moulay Abdallah, kuanzia saa 1:00 kamili usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Stars wanaingia katika mchezo huo wakiwa na alama moja (1) waliyoipata baada ya sare ya mabao 1–1 dhidi ya Uganda. Hata hivyo, wanakabiliwa na kibarua kigumu dhidi ya Tunisia, ambayo kwenye mchezo wake uliopita ilipoteza kwa mabao 3–2 dhidi ya Nigeria (Super Eagles).
Swali kubwa linabaki: Je, Taifa Stars wanaweza kutoboa na kupata matokeo chanya mbele ya Tunisia?.
Tunawaombea kila la heri, kwa mechi tulizocheza tumeona kiwango chetu kilipo, lakini nina imani kutokana na wachezaji tuliyonao tunaweza tukaonyesha kiwango bora zaidi na kushangaza dunia.Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, itashuka dimbani leo katika mchezo wake wa mwisho wa Michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) inayoendelea nchini Morocco. Mchezo huo utafanyika katika Uwanja wa Stade Prince Moulay Abdallah, kuanzia saa 1:00 kamili usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Stars watakuwa na kibarua kigumu wakivaana na Tunisia, ambayo kwenye mchezo uliopita ilipoteza kwa mabao 3–2 dhidi ya Nigeria (Super Eagles). Swali kubwa linabaki: Je, Taifa Stars wanaweza kutoboa na kupata matokeo chanya mbele ya Tunisia?.
Na njaa labdaStars watashinda kwa goali 2-1 hivyo kuendelea mtoano
Stars watashinda kwa goali 2-1 hivyo kuendelea mtoano
Sio m100 tena ni m200,Kitu kizuri kwenye hii mechi Taifa stars atafungwa,.........tuziokoe zile milioni 100 za kununua goli Moja,ziende zikajenge madawati ya vijana wetu