FT' Tanzania 1-1 Tunisia - AFCON 2025| Group Stage | Group C | Match 3 of 3 | Stade Prince Moulay Abdallah Stadium | Saa 19:00 Usiku

FT' Tanzania 1-1 Tunisia - AFCON 2025| Group Stage | Group C | Match 3 of 3 | Stade Prince Moulay Abdallah Stadium | Saa 19:00 Usiku

Wazee wa mikeka tushawachinja, nitasikitika sana wakipata sare maana buku langu litakuwa limeenda bila sababu.
 
Tunawaombea kila la heri, kwa mechi tulizocheza tumeona kiwango chetu kilipo, lakini nina imani kutokana na wachezaji tuliyonao tunaweza tukaonyesha kiwango bora zaidi na kushangaza dunia.

Mimi siyo kocha na siwezi kuingilia benchi la ufundi lakini ningependa kuona hawa wachezaji wakiipambania bendera ya Tanzania kwa kuanza leo:-
1 - Fofana
2 - Shomari Kapombe
3 - Mohamed Hussein
4 - Bacca
5 - Bakari Nondo
6 - Novatus
7 - Allarakhia
8 - Charles M’Mombwa
9 - Msuva
10 - Selemani Mwalimu
11 - Iddi Nado
SAMATTA akicheza tutafungwa 5 bila
 
Back
Top Bottom