Mbuta Likaso
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 5,414
- 10,555
Hata akina Tchouamen, Alex Song, Mbappe na Zidane wanashangaa hivi hawa Wachezaji waliovaa jezi ya bluu wametoka kwenye mapori ya wapi?Huyu Mwamnyeto vipi? Aina gani hii ya ukabaji?
Ukabaji wa kumshikilia mti namna ile? Hata Simon Msuva kafanya hivyo hivyo. Ushamba sana.