Asante Mkuu. Ila mechi ya Morocco vs Tanzania nitaweka tena. Shida Kanjbai kawapa odds ndogo sana, yaani 1.15 vs 22.8 🙆. Maana yake Kanj anajua li Taifa Stars linakufa mapema ndani ya dk 8 tu za kwanza.