OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Cheka na hapo
Wanataka afukuzwe kwakuwa yeye ndie anaewaingizia wachazaji mfumo ambayo si rafiki kwao. Maana yake ni kwamba falsafa zake zinapishana na aina ya wachezaji alionao, na kwakuwa hawezi kubadilika basi angalau atupishe.Sielewi kwanini washabiki wanataka kocha afukuzwe ikiwa uzembe unaonekana dhahiri ni wa wachezaji
Vipi mnawaweza!!?Yaani naangalia hii game halafu nawafikiria Al Ahly