FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

One to go
Screenshot_20231005-163620~2.png
 
Sielewi kwanini washabiki wanataka kocha afukuzwe ikiwa uzembe unaonekana dhahiri ni wa wachezaji
Wanataka afukuzwe kwakuwa yeye ndie anaewaingizia wachazaji mfumo ambayo si rafiki kwao. Maana yake ni kwamba falsafa zake zinapishana na aina ya wachezaji alionao, na kwakuwa hawezi kubadilika basi angalau atupishe.
 
Back
Top Bottom