FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

Kibu kafanyiwa foul anapoanguka anamtegua mguu mchezaji aliyemsababishia foul.

Mchezaji naye anaanguka.

Refa kimya.

Kibu kawahi kuamka, refa ksoiga filimbi.

So kosa la Kibu ni kuwahi kuamka baada ya kufanyiwa foul
 
Pira papatu papatu....
giphy.gif
 
Back
Top Bottom