FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

Shambuli kama ile dah Bocco ni useless
Huyu ameshazeeka na mwili unakataa kitii kile ambacho akili yake inawaza kufanya, hatuwezi kuwa na akili timamu kama tutategemea lolote la maana kuhusu ufungaji kutoka kwa Bocco.
 
Naangalia hapa mpira wa Chama langu Simba na prison, ninayo yaona nafsi imekataa kabisa kuamini kwamba hii ni ligi ya tano kwa ubora kama tunavyoaminishwa, sasa napiga picha hiyo ligi ya mwisho kwa ubora sijui wanachezaje.
 
Huyu ameshazeeka na mwili unakataa kitii kile ambacho akili yake inawaza kufanya, hatuwezi kuwa na akili timamu kama tutategemea lolote la maana kuhusu ufungaji kutoka kwa Bocco.
Mechi inaanza kuwa ngumu kwa ajili ya ujinga wa kocha,kwanini asifanye sub?hawa majamaa wanajua kupiga foul tutakuja kuumbuka hapa
 
Back
Top Bottom