FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

b22ee46f58e44b53b6636583e4f90bb0.jpg
 
Huyu Phiri Alimkosea nini Robertinho? Bonge la mchezaji lakini anasugua benchi.
 
Inaonekana ni mchezaji mzuri lakini labda kwenye mazoezi bado hajamu impress kocha.

Mfano Kibu D ana jitihada kubwa sana kwenye mazoezi.
 
Hapa kuna zaidi ya mazoezi,
Dirisha dogo aombe kuondoka tu
 
Nguvu moya!!
 
Attachments

  • 20231005_155623.jpg
    20231005_155623.jpg
    393.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom