FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

Kumekucha tena,

Kivumbi leo. Uwanja wa Sokoine Mbeya.

Simba ya Dar es Salaam itaumana na Tanzania Prison ya Mbeya.

Muda ni Saa 10 Jioni kwa Saa za Afrika Mashariki.
View attachment 2772703
Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Tanzania Prisons, Oktoba 5, 2023
Lolote baya liwakute
 
Sioni umuhimu wa kuanza na wachezaji wawili ambao ni mzigo kwa team (Bocco na Ntibazonkiza).

Angalau kidogo BOCCO ila huyu mwingine ndio mpoteza mpira wa Simba Sc.
 
Back
Top Bottom