Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Wachambuzi wanakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aende wapiHuyu jamaa atoke tu
Pamoja na gsm kuweka vihela vyake lakini wapi.....Hadi ukamilifu wa Dahari!!
Akiba tuliweka, leo tunaitumiaKwahiyo leo mnacheza vizuri sio .!??
Refa mzuri leo?u Mwekage akiba basi
Ukifika ubungo umefika dar [emoji23]Ilibakia kidogo..lile la Malone
Mie nawashauri tu hao Yanga wawape wafungwa hela zao maana walifunga goli 1😂Million 25 za yanga zinashindwa kuzaa matunda.😂
pumzika sasa robertinho tuna wasubiri wachambuzi uchwaraSimba nzuri zote karibu misimu 5 azijapata zaidi ya goli 2 pale sokoine Simba mbovu inayoshambuliwa na waandishi uchwara na pimbi zao utopolo Bin chura gongo wazi imepata goli 3 na soka safi la kuvutia sasa soka lile mnataka Wana lunyasi wacheze mpira gani huo mzuri pumzika sasa robertinho tuna wasubiri wachambuzi uchwara
Timu yako si ilishindiliwa mwiko jana kule kwa walima mpungaHii mbeleko kwa timu yangu inatia aibu, offside ya wazi
👏👏Leo onana kwa dk chache alizocheza kaonesha anahitaji kuanza, phiri anahitajika kikosi cha kwanza.
Saidoo kwanini kataka kupiga yeye ile penati, ni ubinafsi, kwa kipindi kigumu anachopitia phiri anahitaji support toka kwa wenzie.
Simba viongozi walisajili hovyo, kuna watu wanahitaji kupewa nafasi ili waweze kujianini wafanye vitu vyao kwa uhuru, mfano chama akikosea hana tabu sababu wala mashabiki hawatalalama sana sababu alishaonesha uwezo wake.
Ila onana akikosea atakuwa na mashaka, na kitu hicho ndio kinawatoa wachezaji mchezoni.
Chilunda anahitaji muda zaidi.. msimu huu uwe wa mwisho kwa boko, kazi na umri.
Kibu akiongeza matumizi ya akili badi ni mchezaji mzuri saana.
Saidoo bado anacheza mpira wa gombania goli(mpira wangu) ule ni mpira wa shule(anao anao)
Mzamiru anahitajika msaidizi wake mnyumbulifu zaidi.
Sina shida na ally salim, nina shida na waolalamikia salim awe kikosi cha kwanza, mie kwangu bado.
Phiri ndio katoa fair kwa SaidoLeo onana kwa dk chache alizocheza kaonesha anahitaji kuanza, phiri anahitajika kikosi cha kwanza.
Saidoo kwanini kataka kupiga yeye ile penati, ni ubinafsi, kwa kipindi kigumu anachopitia phiri anahitaji support toka kwa wenzie.
Simba viongozi walisajili hovyo, kuna watu wanahitaji kupewa nafasi ili waweze kujianini wafanye vitu vyao kwa uhuru, mfano chama akikosea hana tabu sababu wala mashabiki hawatalalama sana sababu alishaonesha uwezo wake.
Ila onana akikosea atakuwa na mashaka, na kitu hicho ndio kinawatoa wachezaji mchezoni.
Chilunda anahitaji muda zaidi.. msimu huu uwe wa mwisho kwa boko, kazi na umri.
Kibu akiongeza matumizi ya akili badi ni mchezaji mzuri saana.
Saidoo bado anacheza mpira wa gombania goli(mpira wangu) ule ni mpira wa shule(anao anao)
Mzamiru anahitajika msaidizi wake mnyumbulifu zaidi.
Sina shida na ally salim, nina shida na waolalamikia salim awe kikosi cha kwanza, mie kwangu bado.
🤣Timu yako si ilishindiliwa mwiko jana kule kwa walima mpunga