FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

Unataka kusema walikuwa wanabutua butua au kumaanisha nini mkuu😆
 
pumzika sasa robertinho tuna wasubiri wachambuzi uchwara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BRN
Leo onana kwa dk chache alizocheza kaonesha anahitaji kuanza, phiri anahitajika kikosi cha kwanza.

Saidoo kwanini kataka kupiga yeye ile penati, ni ubinafsi, kwa kipindi kigumu anachopitia phiri anahitaji support toka kwa wenzie.

Simba viongozi walisajili hovyo, kuna watu wanahitaji kupewa nafasi ili waweze kujianini wafanye vitu vyao kwa uhuru, mfano chama akikosea hana tabu sababu wala mashabiki hawatalalama sana sababu alishaonesha uwezo wake.
Ila onana akikosea atakuwa na mashaka, na kitu hicho ndio kinawatoa wachezaji mchezoni.

Chilunda anahitaji muda zaidi.. msimu huu uwe wa mwisho kwa boko, kazi na umri.

Kibu akiongeza matumizi ya akili badi ni mchezaji mzuri saana.

Saidoo bado anacheza mpira wa gombania goli(mpira wangu) ule ni mpira wa shule(anao anao)

Mzamiru anahitajika msaidizi wake mnyumbulifu zaidi.


Sina shida na ally salim, nina shida na waolalamikia salim awe kikosi cha kwanza, mie kwangu bado.
 
👏👏
 
Phiri ndio katoa fair kwa Saido
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…